Exodus 16:12

12 a“Nimesikia manung’uniko ya Waisraeli. Waambie, ‘Jioni mtakula nyama, na asubuhi mtashiba mikate. Ndipo mtajua ya kwamba Mimi ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wenu.’ ”

Copyright information for SwhKC